Ununuzi · ProcurementACU Inanunua Mizani za Kidijitali kwa AMCOS 38
Arusha Co-operative Union imenunua na kusambaza mizani za kidijitali (digital weighing scales) kwa ajili ya AMCOS 38 za msingi ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha uzani wa mazao unapimwa kwa usahihi na uwazi. Mizani hii itawawezesha makamati kupima mazao kwa usahihi mkubwa, kupunguza makadilio ya pembejeo, na kuhakikisha malipo sahihi kwa wakulima washirika. Hatua hii inaendelea kufuatilia utekelezaji wa mfumo wa MUVU/COPRA kwa ufuatiliaji wa mazao.
Read More

































